315 Vacancies at ASAS Group of Companies
ASAS GROUP OF COMPANIES ADDRESS 32848 HEAD OFFICE IRINGA SUB BRANCH – DAR ES SALAAM, TANZANIA TANGAZO LA KAZI Kampuni ya ASAS inayojishughulisha na shughuli…
ASAS GROUP OF COMPANIES
ADDRESS 32848
HEAD OFFICE IRINGA
SUB BRANCH – DAR ES SALAAM, TANZANIA
TANGAZO LA KAZI
Kampuni ya ASAS inayojishughulisha na shughuli za uzalishaji wa mafuta ya kupikia, vinywaji baridi, pamoja na shughuli za usafirishaji, inapenda kuwatangazia vijana wa Kitanzania kuwa tunatarajia kuzindua kiwanda chetu kipya cha kusindika mafuta ya kupikia katika eneo la Chang’ombe viwandani, jijini Dar es Salaam. Tayari tumefika hatua za mwisho za uandaaji wa kiwanda hiki, na kinasubiriwa uzinduzi wake, baada ya hapo shughuli za uzalishaji zitaanza. Kiwanda hiki kitaruhusu kuanza kufanya kazi mwezi wa Aprili mwaka 2025. Tunapenda kutangaza nafasi za kazi kwa vijana wa Kitanzania kote nchini walio tayari kufanya kazi ndani ya kiwanda chetu.
NAFASI ZINAZOHITAJIKA
- Mhasibu (Nafasi 10, wanawake tu) – Uwe na elimu ya uhasibu kuanzia ngazi ya cheti.
- Fundi Umeme wa Viwandani (Nafasi 9) – Uwe na elimu ya fani ya umeme angalau ngazi ya cheti, mwenye uzoefu wa kazi angalau mwaka mmoja.
- Mlinzi (Nafasi 10) – Uwe na uzoefu wa kazi angalau mwaka mmoja, na uwe umepitia mafunzo ya mgambo au JKT.
- Supervisor (Nafasi 8) – Uwe na uzoefu wa kushughulikia wengine, mwenye uwezo mzuri wa kufanya mawasiliano, elimu kuanzia ngazi ya cheti katika fani yoyote.
- Mapokezi (Nafasi 10, wanawake tu) – Uwe na uzoefu wa kazi hii, mwenye elimu kuanzia ngazi ya cheti katika fani yoyote.
- Usafi (Nafasi 20) – Uwe na elimu kuanzia kidato cha nne.
- Dereva (Nafasi 30) – Uzoefu usiopungua mwaka mmoja, na kiwango cha leseni kuanzia Daraja D.
- Wafanyakazi wa Uzalishaji (Nafasi 215) – Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea. Hawa watapata mafunzo katika kila kitengo, jinsi ya kuendesha mitambo ya uzalishaji na ufungaji wa bidhaa zetu hadi kufikia hatua ya mwisho ya uzalishaji tayari kupelekwa sokoni.
SIFA ZA MWOMBAJI
- Awe Mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 18.
- Awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
Maombi yatumwe kwa Afisa wa Ajira kupitia barua pepe ambayo ni [email protected] au [email protected]. Ambatanisha barua ya maombi ya kazi, vyeti vya elimu, pamoja na namba ya NIDA au cheti cha kuzaliwa. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 11/03/2025. Watakaojitosheleza vigezo wataitwa kwa ajili ya usaili.
JOB ANNOUNCEMENT
ASAS Group of Companies, which is involved in the production of edible oils, cold beverages, and transportation activities, is pleased to announce to Tanzanian youth that we expect to launch our new edible oil processing plant in the Chang’ombe industrial area in Dar es Salaam. We have already reached the final stages of setting up this plant, and we are currently awaiting its launch, after which production activities will begin. This plant is expected to start operations in April 2025. We are announcing job opportunities for Tanzanian youth across the country who are ready to work in our plant.
VACANT POSITIONS
- Accountant (10 positions, women only) – Must have an accounting education from certificate level.
- Industrial Electrician (9 positions) – Must have an electrical education at least at certificate level, with at least one year of work experience.
- Security Guard (10 positions) – Must have at least one year of work experience and have undergone security or JKT training.
- Supervisor (8 positions) – Must have experience in managing others, good communication skills, and education from certificate level in any field.
- Receptionist (10 positions, women only) – Must have relevant work experience and education from certificate level in any field.
- Cleaner (20 positions) – Education from Form Four level.
- Driver (30 positions) – At least one year of experience and a driving license from Class D.
- Production Workers (215 positions) – Education from Form Four level and above. These workers will receive training in each department, including how to operate production machinery and package our products until the final stage of production, ready for market.
GENERAL QUALIFICATIONS FOR APPLICANTS
- Must be a Tanzanian citizen aged at least 18 years.
- Must have education from Form Four level and above.
Applications should be sent to the Hiring Officer via email at [email protected] or [email protected]. Include a job application letter, your educational certificates, and your NIDA number or birth certificate. The deadline for receiving applications is 11/03/2025. Those who meet the criteria will be called for an interview.
TAHADHARI ! USITOE PESA YOYOTE KATIKA HATUA YOYOTE YA KUTUMA MAOMBI YA KAZI
