SAMPLE YA BARUA JESHI LA POLISI IN WORD
MKUU WA JESHI LA-POLISI TANZAMIA,MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI,S. L. P 914,DODOMA. Ndugu, YAH: MAOMBI YA KAZI JESHI LA POLISI TANZAMIA (JINA LAKO) S.L.P…
MKUU WA JESHI LA-POLISI TANZAMIA,
MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI,
S. L. P 914,
DODOMA.
Ndugu,
YAH: MAOMBI YA KAZI JESHI LA POLISI TANZAMIA
(JINA LAKO)
S.L.P 045;
TANGA.
21/03/2025
Husika na Kichwa cha habari hapo juu, Mimi (Jina lako) kijana mwenye umri wa miaka ishirini na moja ninaomba nafasi ya kujiunga na Jeshi la Polisi katika nafasi ya (Unataja fani yako kama ipo kwenye orodha ya fani zilizoorodheshwa kwenye Tangazo la Ajira).
Mimi ni Mtanzania na ninakidhi sifa zote kama zilivyoorodheshwa katika Tangazo la kazi na ninahaidi kulitumikia Taifa langu katika hali yoyote na mahali popote ndani ya Nchi yangu.
Nimeambatanisha vidakuzi vya vyeti vinavyohitajika nyuma ya barua hii. Nina imani ombi langu litakubaliwa.
Wako katika Ujenzi wa Taifa.
(Sahihi yako)
(Jina lako)
(Namba yako ya Simu)
Kumbuka: Hii barua unatakiwa uandike kwa mkono
BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA CHANNELL YA WHATSAPP KWA UPDATE ZA AJIRA NA USAILI
