MABADILIKO ENEO LA USAILI WA MAHIJIANO WALIMU IIIB
MABADILIKO YA ENEO LA KUFANYIA USAILI WA MAHOJIANO MWALIMU DARAJA LA IIIB NA DARAJA LA IIIA ELIMU YA AWALI MKOA WA TABO Waombaji kazi wote…
MABADILIKO YA ENEO LA KUFANYIA USAILI WA MAHOJIANO MWALIMU DARAJA LA IIIB NA DARAJA LA IIIA ELIMU YA AWALI MKOA WA TABO
Waombaji kazi wote wa Kada ya Mwalimu Daraja IIIB (Kemia, Baiolojia, Jiografia na TEHAMA) pamoja na Mwalimu Daraja la IIIA Elimu ya Awali mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya eneo la kufanyia usaili wa mahojiano kwa mkoa wa Tabora.
