Dondoo za Mtaala Mpya 2025
Mtaala mpya wa elimu nchini Tanzania unatarajiwa kuanza kutumika rasmi Januari 2025. Mabadiliko haya yanalenga kuboresha mfumo wa elimu kwa kuzingatia mahitaji ya sasa na…
Mtaala mpya wa elimu nchini Tanzania unatarajiwa kuanza kutumika rasmi Januari 2025. Mabadiliko haya yanalenga kuboresha mfumo wa elimu kwa kuzingatia mahitaji ya sasa na mustakabali wa taifa. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), mitaala na mihtasari mipya imeandaliwa kwa ajili ya elimu ya msingi na sekondari.
