FOMU YA KUJIUNGA NA VETA NA LIST YA VYUO 2025
MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI FOMU YA MAOMBI YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KATIKA VYUO VINAVYOMILIKIWA NA VETA AWAKA 2024…
MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI
FOMU YA MAOMBI YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI
KATIKA VYUO VINAVYOMILIKIWA NA VETA AWAKA 2024
FOMU NAMBA: VETA/AF/LC/…../…../……
A. MAELEZO YA MWOMBAJI (Jaza kwa herufi kubwa)
- Jina la Mwombaji……….. Jinsi: Me/ Ke ………
(Majina kama yaliyyo kwenye vyeti vyako)
- Tarehe ya kuzaliwa……../………. Uraia: ……… Namba ya pasi ya kusafiria ………
- Kiwango cha Juu cha Elimu yako ……….. Mwaka uliohitimu ……….. Jina la Shule/Chuo
……… - Anuani ya Mwombaji: S.L.P ……… Mahati unapoishi: Kijiji/Kata ……… Wilaya ………
Mkoa ……… Namba ya simu ……… Barua pepe ……… - Jina la Mzazi/Mlezi/Mfadhili ………
- Anuani ya Mzazi /Mlezi/Mfadhili S L. P ……… Namba ya simu ……… Barua pepe ………
- Andika fani tatu unazopenda kujifunza na uandiike kufuatana na kipaumbele chako (Angalia orodha ya fani na
vyuo vinavyomilikiwa na VETA liivoambatishwa).
(i) ……….. (ii) ……….. (iii) ……….. - Ukichaguliwa ungependa kusoma: (Weka alama ya vema ( v) katika kisanduku husika)
(i) Bweni (ii) Kutwa
- Andika majina ya Vyuo vitatu(3) unavyopenda kwenda kusoma kuendana na machaguo ya fani ulizochagua
(i) ……….
(ii) ……….
(iii) ………. - Je upo tayari kupangiwa chuo kingine cha VETA nj e ya hicho Chuo ulichojaza hapo juu Na. 9 ambacho ni cha
Bweni ………..
B. MAELEZO YA YA FOMU NA MTHANI
(i) Formu zitaanza kutolewa kuanzia tarehe 10/7/2023 na mwisho wa kuchukua na kurudisha Fomu ni tarehe
15/9/2023
(ii) Mithani wa kujiunga na chuo utafanyika tarehe 02 Oktoba, 2023 saa 02:30 Asubuhi, Unapaswa kuripoti nusu saa
kabla. Pamoja na fomu hit fika na risti uliyolipia, vyeti halisi vya kuhitimu shule/chuo, kalamu ya wino, penseli
na picha moja (passport size). Kutofuata maagizo tajwa hapa juu itapelekea kutoruhusiwa kufanya mithani.
(iii) Matokeo ya Mithani yatatolewa tarehe 29 Novemba, 2023 na yatabandiikwa katika mbao za matangazo chuoni na
katika vituo vya mithani pia yatawekwa kwenye tovuti ya VETA www.veta.go.tz
(iv) Taja Chuo utakachofanyia mithani………
C. MAELEZO MUHIMU
(i) Formu zinapatikana kwenye chuo cha VETA kilicho karibu, na kwenye tovuti ifuatayo: www.veta.go.tz
(ii) Mwombaji atalipia kiasi cha Tshs 5,000 (Elfu Tano tu) siku ya kurudisha fomu.
(iii) Weka alama ya vema (/) kwenye aina yeyote ya ulemavu kama unao:- Usikivu Hafffu ( ) Uoni Hafffu ( )
Ulemavu wa Ngozi ( ) Ulemavu wa Ylungo ( )
Taja Ulemavu Mwingine kwa kuorodhesha ………
D. UTHIBITISHO
Nathibitisha kuwa nimesoma na kuelewa yote yaliyo katika fomu hit, na taarifa nilizotoa ni sahihi.
Saini ya Mwombaji: ……….. Tarehe: ………
Saini ya Mzazi/Mlezi/Mfadhili: ……….. Tarehe: ………
Muhimu: Toa nakala fomu hit baada ya kujjaza kikamilfti, na uwasilishe nakala ya fomu chuoni; fomu halisi utakuja nayo
siku ya kufanya mithani wa kujiunga.
KOZI ZITAKAZOTOLEWA KWENYE VYUO VYA VETA MWAKA 2024
| NA. | JINA LA CHUO | FANI ZITAKAZOFUNDISHWA | BWENI/KUTWA |
|---|---|---|---|
| 1. | Arusha YTC | Electrical Installation (EL), Welding & Fabrication (WF), Plumbing and Pipe fitting (PPF), Design Sewing and Cloth Technology (DSCT), Masonry and Bricklaying (MB), Auto Electric (AE), Information and Communication Technology (ICT), Motor Vehicle Mechanics (WVM), Carpentry and Joinery (CJ). | Bweni na Kutwa |
| Eneo la Oijoro S.L.P 509, ARUSHA. | |||
| 2. | Busokelo DVTC S.L.P 630, TUKUYU | Carpentry and Joinery (CJ), Electrical Installation (EL), Designing, Sewing and Cloth Technology | Kutwa |
| 3. | Chato DVTC S.L.P 168 CHATO | Motor Vehicle Mechanics (WVM), Electrical Installation (EL), Plumbing and Pipe Fitting (PPF), Masonry and Bricklaying (MB), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Food Beverage Service and Sales (FBSS), Food Production (FP), Aquaculture and Fish Processing (FFP) | Bweni na kutwa |
| 4. | Dakawa YTC S.L.P 1696, MOROGORO | Electrical Installation (EL), Leather Goods (LG), Masonry and Bricklaying (MB), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Plumbing and Pipefitting (PPF) | Bweni na Kutwa |
| 5. | Dar es Salaam RVTSC Barabara Chang’ombe S.L.P 40274, DAR ES SALAAM | Truck Mechanics (TM), Laboratory Assistant (LA), Electrical Installation (EL), Fitter Mechanics (FM), Electronics (ELEC), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Offset Machine Printing (OMP), Pre press and Digital Printing (PDP), Binding and Print Finishing (BPF), Office Machine Maintenance (OMM), Welding and Metal Fabrication (WF), Civil Drafting (CD), Information and Communication Technology (ICT), Refrigeration and Air Condition (RAC), Plumbing and Pipe Fitting (PPF), Auto Body Repair (ABR), Carpentry and Joinery (CJ), Masonry and Bricklaying (MB), Painting and Sign Writing (PS) | Kutwa |
| 6. | Dodoma RVTSC S.L.P 2197, DODOMA | Carpentry and Joinery (CJ), Painting and Sign Writing (PS), Road Construction (RC), Masonry and Bricklaying (MB), Plumbing and Pipe Fitting (PPF), Electrical Installation (EL), Fitter Mechanics (FM), Welding and Metal Fabrication (WF), Heat Processing (MP), Electronics (ELEC), Motor Vehicle Mechanics (WVM), Civil Drifting (CD), House Keeping (HK), Beverage Service and Sales (FBSS), Front Office Operation. | Bweni na Kutwa |
| NA. | JINA LA CHUO | FANI ZITAKAZOFUNDISHWA | BWENI/KUTWA |
|---|---|---|---|
| 7. | Gorowa DVTC S.L.P 638 BABATI | Plumbing and Pipe fitting (PPF), Electrical Installation (EL), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT) | Kutwa |
| 8. | Ilejie DVTC S.L.P 125, ILEJE | Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Electrical Installation (EL), | Bweni na Kutwa |
| 9. | Iringa RVTSC S.L.P 778, IRINGA | Motor Vehicle Mechanical (NWM), Masonry and Bricklaying (MB), Electrical Installation (EL), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Carpentry and Joinery (CJ), Welding and Metal Fabrication (WF), Painting and Sign Writing (PS), Fitter Mechanics (FM), Plumbing and Pipe fitting (PPF), Secretarial and Computer (SCA), Food Production (FP), Food, Beverage Service and Sales (FBSS). | Bweni na Kutwa |
| 10. | Kagera VTC S.L.P. 906, BUKOBA | Masonry and Bricklaying (MB), Motor Vehicle Mechanics (NWM), Electrical Installation (EL), Carpentry and Joinery (CJ), Welding and Metal Fabrication (WF), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT) | Kutwa |
| 11. | Kagera RVTSC S.L.P 188, BUKOBA | Fitter Mechanics(FM), Welding and Metal Fabrication (WF), Plumbing and Pipe Fittings (PPF), Electrical Installation (EL), Electronics(ELEC),Masonry and Bricklaying (MB) , Painting and sign writer (PS) | Bweni na Kutwa |
| 12. | Kanadi VTC S.L.P 118, SIMIVU | Electrical Installation (EL), Signing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Secretarial and Computer (SCA), | Kutwa |
| 13. | Karagwe VTC S.L.P 62, KARAGWE | Welding and metal Fabrication (WF), Motor Vehicle Mechanics (NWM), Electrical Installation (EL), Carpentry and Joinery (CJ), Secretarial and Computer (SCA), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Masonry and Bricklaying (MB), Electronics (ELEC) | Bweni na Kutwa |
| 14. | Karatu DVTC S.L.P 352 KARATU | Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Electrical Installation (EL), Plumbing and Pipe Fitting (PPF) | Bweni (Wasichana) na Kutwa |
| NA. | JINA LA CHUO | FANI ZITAKAZOFUNDISHWA | BWENI/KUTWA |
|---|---|---|---|
| 15. | Kasulu DVTC S.L.P KASULU | Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Masonry and Bricklaying (MB), Electrical Installation (EL), Secretarial and Computer (SCA), Motor Vehicle Mechanics (MVM). | Kutwa |
| 16. | Kigoma RVTSC S.L.P 1068, KIGOMA | Masonry and Bricklaying (MB), Carpentry and Joinery (CJ), Auto Electric (AE), Auto Body Repair (ABR), Motor Vehicle Mechanics (MVM), Electronics (ELEC), Painting and sign writer (PS), Food Production (FP), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Information and Communication Technology (ICT), Electrical Installation (EL), Welding & Metal Fabrication (WF), Refrigeration and Air Condition (RAC), Plumbing and Pipe Fittings (PPF). | Bweni na Kutwa |
| 17. | Kihonda RVTSC S.L.P. 2208, MOROGORO. | Motor Vehicle Mechanics (MVM), Masonry and Bricklaying (MB), Design Sewing and Clothing Technology (DSCT), Carpentry and Joinery (CJ), Filter Mechanics (FM), Refrigeration and Air Conditioning (RAC), Electrical Installation (EL), Auto Electric (AE), Plumbing and Pipe fitting (PPF) | Bweni na Kutwa |
| 18. | Kipawa ICT Centre P.O.BOX 40040, DAR ES SALAAM | Electronics (ELEC), Information and Communication Technology (ICT) | Kutwa |
| 19. | Kishapu DVTC S.L.P 470 SHINYANGA | Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Electrical Installation (EL) | Bweni na Kutwa |
| 20. | Kitangali DVTC S.L.P 495, NEWALA | Electrical Installation (EL), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Secretarial Courses (SC) | Kutwa |
| 21. | Kongwa DVTC S.L.P 51 KONGWA | Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Masonry and Bricklaying (MB), Electrical Installation (EL), Carpentry and Joinery (CJ), Secretarial and Computer (SCA), Motor Vehicle Mechanics (MVM). | Bweni na Kutwa |
| 22. | Lindi RVTSC S.L.P. 1001, LINDI | Electrical Installation (EL), Carpentry and Joinery (CJ), Masonry and Bricklaying (MB), Welding & Fabrication (WF), Refrigeration and Air Condition (RAC), Business Operation Assistant (BOA), Motor Vehicle Mechanics (MVM), Design Sewing and Cloth Technology (DSCT), Food Production (FP), Food, Beverage Service and Sales (FBSS), Secretarial and | Bweni na Kutwa |
|NA.|JINA LA CHUO|FANI ZITAKAZOFUNDISHWA|BWENI/KUTWA|
| :-: | :-: | :-: | :-: |
|||Computer (SCA).||
||Mabalanga VTC S.L.P 18 HANDENI|Carpentry and Joinery (CJ), Design, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Information and Communication Technology (ICT), Masonry and Bricklaying (MB).|Kutwa|
||Makete DVTC S.L.P 138, MAKETE|Masonry and Bricklaying (MB), Carpentry and Joinery (CJ), Motor Vehicle Mechanics (MVM), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT)|Bweni (Wasichana)|
||Manyara RVTSC S.L.P 485, BABATI|Secretarial and Computer (SCA), Laboratory Assistant (LA), Welding and Metal Fabrication (WF), Masonry and Bricklaying (MB), Electrical Installation (EL), Electronics (ELEC), Motor Vehicle Mechanics (MVM), Carpentry and Joinery (CJ).|Bweni na Kutwa|
||Mara VTC S.L.P. 188, MUSOMA.|Motor Vehicle Mechanics (MVM), Electrical Installation (EL), Plumbing and Pipe Fitting (PPF), Welding and Metal Fabrication (WF), Auto Electric (AE), Carpentry and Joinery (CJ), Masonry and Bricklaying (MB), Painting and Sign Writing (PS).|Kutwa|
||Mbarali DVTC S.L.P 62, MBARALI|Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Masonry and Bricklaying (MB), Electrical Installation (EL)|Kutwa|
||Mbeya RVTSC S.L.P 1020, MBEYA|Electrical Installation (EL), Motor Vehicle Mechanics (MVM), Masonry and Bricklaying (MB), Design Sewing and Clothing Technology (DSCT), Welding & Metal Fabrication (WF), Filter Mechanics (FM), Plumbing and Pipe Fitting (PPF), Auto Electric (AE), Carpentry and Joinery (CJ), Auto Body Repair (ABR), Food Production (FP), Secretarial and Computer (SCA).|Bweni na Kutwa|
||Mikumi VTC S.L.P 110, MIKUMI|Electrical Installation (EL), Filter Mechanics (FM), Motor Vehicle Mechanics (MV), Carpentry and Joinery (CJ), Masonry and Bricklaying (MB), Secretarial and Computer (SCA), Information and Communication Technology (ICT), House Keeping (HK), Front Office Operation (FO), Food and Beverage Service and Sales (FBSS), Food Production (FP), Tour Guide (TG), Eco Tourism (EG), Welding and metal fabrication (WF)|Bweni na kutwa|
| NA. | JINA LA CHUO | FANI ZITAKAZOFUNDISHWA | BWENI/KUTWA |
|---|---|---|---|
| 30. | Monduli DVTC S.L.P MONDULI | Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Masonry and Bricklaying (MB) | Bweni na Kutwa |
| 31. | Moshi RVTSC Market street S.L.P 1738, MOSHI. | Tools and Die Making (TDM), Electronics (ELEC), Instrumentation (IM), Refrigeration and Air Condition (RAC), Foundry and Pattern Making (FPM), Fitter Mechanics (FM), Welding and Metal Fabrication (WF), Secretarial and Computer (SCA), Food Production (FP), Pipelitting and Boiler Mechanics (PFBM), Machine Tool Maintenance (MTM), Civil Drafting. |
