NAFASI ZA KAZI ZA WALIMU
Mwalimu wa tuition atawajibika kufundisha mwanafunzi mmoja kwa muda uliopangwa kwa mwezi, kwa kufuata mtaala wa NECTA au Cambridge kulingana na mahitaji ya mwanafunzi. Atatoa…
Mwalimu wa tuition atawajibika kufundisha mwanafunzi mmoja kwa muda uliopangwa kwa mwezi, kwa kufuata mtaala wa NECTA au Cambridge kulingana na mahitaji ya mwanafunzi. Atatoa mwongozo wa kitaaluma na kuhakikisha mwanafunzi anapata uelewa wa kina wa masomo anayosoma.
Responsibilities
Mwanafunzi Grade (5) NECTA kutoka Mafinga, anahitaji mwalimu.
- Katika masomo ya Science, Kiswahili , English, Social Studies
- Vipindi utafundisha ni nane (8) tu kwa mwezi.
- Kwa malipo ya 135,000/= kwa mwezi.
- Mwalimu wa Kiume anahitajika.
Requirements
- Elimu: Shahada/Diploma ya Ualimu au fani inayohusiana na masomo yanayofundishwa.
- Uzoefu: Uzoefu wa kufundisha kwa ngazi husika (NECTA)
- Uwezo wa Lugha: Uwezo mzuri wa kueleza kwa Kiswahili na Kiingereza kulingana na masomo.
Tafadhali Kumbuka Kwamba:
Ubonyezapo link ya Kuapply utapelekwa moja kwa moja katika platform ya silabu na kuweza kujisajiri kama mwalimu ili kutoa huduma hizi za kufundisha, au piga 0767927016 kwa maelekezo zaidi, hakuna malipo yoyote katika kujisajili au kupata kazi hii, ni BURE.
Mshirikishe mwezako upatapo tangazo Hili.
Skills Required
- Ability To Communicate
- Presentation skills and Teaching.
